Kurasa

Jumatano, 16 Aprili 2014

MAJANGA HAYA SIJUI YATAKWISHA!!!!!!!!!!!!!!!!!

PICHA ZA MTO RUVU UKIWA UMETAPIKA NJIA KUU YA MIKOANI NA KUSHINDWA KUJUA MWISHO WA NJIA HIYO KUU YA KUINGIA NA KUTOKA DAR ES SALAAM.
DAKIKA ZA MWANZA WAKATI DARAJA LA KUUNGANISHA DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO LINAVUNJIKA.

MUNGU TUEPUSHE NA MAFURIKO ZAIDI.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni