KARIBU SANA MUKEBEZI BLOG #SAUTI YA WATU#. BLOG YA HABARI ZISIZO ZA KAWAIDA NA UJASIRIAMALI INAYOONGOZA TANZANIA.
Kurasa
▼
Jumanne, 8 Aprili 2014
DUDUBAYA FANYA KAZI ACHA KUENDEKEZA USHIRIKINA.NDIO NINI KUMKATA MAMA YAKO SIKIO.
story ni kuhusu Dudu Baya kumkata skio mama yake mkubw, kwa madai kuwa anamroga ndio maana hafanyi vizuri katika kazi zake za mziki.
Kwa mujibu wa mdogo wake kabisa (baada ya kuzaliwa yeye) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo
"yah kafanya hivyo, ni jambo la kusikitisha unajua ni hivyo, lakini sasa ndio hivyo keshafanya, kaenda kule kwa mama mkubwa kamkata skio, sababu haijulikani ni kwasababu gani kaenda kufanya hivyo, hata kama alikuwa na sababu halikuwa jambo la busara kumkata sikio"
"nilienda nikamuuliza nani amemkata sikio akasema ni mheshimiwa, akadai kwamba alikuwa anamwambia anamloga sijui nini, mambo ambayo hayana hatia ya msingi kwa ujumla, kwasababu hata ukiangalia yeye ni motto wala haumwi chochote wala wala mwanae hawaumwi ni mzima sasa amemroga nini........"
zaidi msikilize hapa chini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni