visit here again on mukebez.blogspot.com


CHANGE YOUR LIFE

CHANGE YOUR LIFE
Go to Amazon .com and get the copy of this book to make your life better.

Jumatatu, 6 Januari 2014

ZITO AIGAWA CHADEMA

Katika hali ya kushangaza hali ya hewa leo ilikuwa tofauti na watu walivyozoea ambapo mala kadhaa watu wamekuwa wakishuhudia pande mbili kuhasimiana ambazo ni upande wa chama tawala na chama cha upinzani,hali ambayo ilikuwa tofauti leo katika mahakama kuu ya Tanzania ambapo kesi ya Zito Kabwe na chadema ilikuwa inaendelea baada ya pande mbili kutoka katika c
hama kimoja cha CHADEMA kuhasimiana.

Katika malumbano hayo upande wa Zito Ulikuwa ukidai kuwa Zito kwanza chama baadae,wakati upande wa chama ulisisitiza kuwa chama kitakuwa cha kwanza na Zito baadae.Zifuatazo ni baadhi ya picha zikionesha makundi hayo mawili,kila moja likiwa na tambo zake;

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni