Kurasa

HABARI ZA KIMATAIFA

ANORD SCHWARZENEGGER AKUTWA AKIMFUNDISHA MTOTO WAKE JOSEPH BAENA
Arnold Schwarzenegger Spotted Training Son Joseph Baena. See the Rare Photos!
PICHA;ANORD AKIMFUNDISHA MTOTO WAKE.

Katika hali ya kushangaa staa wa zamani wa movie Anord Schwarzenegger amekutwa katika gym ya Gold's iliyoko Venice Carfornia siku ya jumamosi akimfanyisha mazoezi mtoto wake wa kiume Joseph Baena.



Staa huyo wa movie za Terminator anaaminika kufanya hivyo ili kumsaidia mtoto wake mwenye umri wa miaka 18 kuwa kama alivyokuwa yeye ingawa kijana huyo ameripotiwa kuwa na tabia za kihuni

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni