Kurasa

Jumatano, 27 Novemba 2013

Jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani  ni masomo ambayo nitaanza kuyaandika hapa katika blog yangu ili kuwafanya watanzania waweze kujikwamua na umaskini.Kama kweli una malengo ya kujikwamua na umaskini tafadhari soma mafunzo haya na ukatengeneze bidhaa hizo ili kuwa na maisha tofauti na ambayo unayo.